1
Sinza Makaburini
Ofisi ya Dry Cleaning
- Eneo
- Sinza Makaburini, Dar es Salaam
- Simu ya kawaida
- 0750 060 834
- 0712 464 460
Karibu utembelee au uwasiliane na ofisi zetu za huduma ya usafi (Dry Cleaning) zinazopatikana katika maeneo mawili jijini Dar es Salaam. Kila ofisi ina timu iliyo tayari kukuhudumia kwa weledi, heshima na uaminifu.
Ofisi ya Dry Cleaning
Ofisi ya Dry Cleaning
Huduma ya usafi ndiyo asili ya kampuni yetu. Tunatoa usafi wa kitaalamu wa nguo, tukitumia umakini na uangalifu ili kuhifadhi ubora, muonekano na usafi wa nguo zako, na kuzirejesha kwa wakati uliokubaliwa.
Tazama huduma ya Dry Cleaning →Kila huduma yetu ina ofisi, timu na namba yake ya simu. Piga simu ya huduma husika kupata maelekezo.
Tuandikie WhatsApp au tupigie simu, tutakuelekeza kwa haraka.